Msaada wa kodi ya COVID-19 unapatikana

Ikiwa umechelewa kulipa kodi yako au uko katika hatari ya kufukuzwa, unaweza kuomba msaada wa kodi ya kufukuzwa au kutafuta msaada kutoka kwa mpango wa utatuzi wa kufukuzwa.

Wamiliki wa nyumba hawawezi kutoa ilani za kufukuzwa kwa sababu ya kuchelewa kulipa kodi kutokana na janga la COVID-19 isipokuwa iwapo vitu hivi vitatu ni kweli:

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu (Office of the Attorney General) inaweza kusaidia na malalamiko yanayohusiana na kufukuzwa kutoka kwa wapangaji na wamiliki wa nyumba. https://fortress.wa.gov/atg/formhandler/ago/COVID19EvictionComplaintForm.aspx

Nyenzo zinapatikana ili kusaidia matumizi mengine—Piga simu 2 1 1 kwa ajili ya taarifa

Tembelea wa211.org au piga simu 2-1-1 ili kuongea na mtu ambaye anaweza kutoa taarifa ya kusaidia watu kulipia vitu kama bili za nishati, chakula, muunganisho kasi wa tovuti na kadhalika.

Last Updated 2021-07